Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma


Kiwanja kizuri sana kinauzwa eneo la Chidachi
Ukubwa wa Sqm 678
Ni umbali wa km 6 tuu kutoka mjini Kati
Kiwanja hiki tayari Kina fensi upande mmoja
Uduma zote muhimu kama MAJI ✅ umeme ✅ Barabara ✅
Documents ni hati safi
Bei ni 19m