Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma







Kiwanja kizuri kimenyooka barabara safi hadi Site
Bei milioni 12 maongezi yapo wai ndugu mteja fursa hyo uwishi mjini. Service Charge 30 Kuona Kiwanja
Kiwanja kinafaa kujenga apartment za biashara au makazi binafsi
Kiwanja kinadocoument halali za mauziano kutoka serikali za mtaa
Kiwanja kipo sehemu nzr unafika kirahisi sanaa kwa aina zote za magari
Kiwanja kipo ubungo river said kibangu juu km 2 usafiri bajaji 500 ukishuka unatembea dakika 2 umefika Site
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565