Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma


KIWANJA NUSU EKA KINAUZWA
KIPO SONGEA MJINI
MSHANGANO GRACIOUS
NI SQUARE METER 1200
BEI: MIL 2.9 TU
KIMEPIMWA NA KINA MAWE
NGUZO YA UMEME IPO JIRANI
MAJI YAPO, BARABARA SAAFI
PIA KUNA SHORT CUT YA
KUPITIA MSAMALA NA NI
JIRAN SANA, KUTOKEA MTAZAMO
CALL, SMS, WHATSAPP: 0623868704