Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma


👉HII NI KWA WALE WANAOPENDA MASWALA YA UFUGAJI TU
👉NINA BONGE LA MRADI UNAUZWA MJINI KIBAHA TOWNSHIP
👉MRADI UPO KIBAHA TANITA MJINI KABISA
👉SITE KUNA MABANDA MAKUBWA SANA MANNE NA NYUMBA ZA STUFF MBILI KUBWA
👉MABANDA MATATU YA KUKU NA MOJA LA NGURUWE
👉MABANDA YA KUKU KUNA LA UKUBWA WA METER 60, 50 NA 30
👉MRADI HUU UMEJENGWA KISASA SANA NA MIUNDOMBINU YAKE NI YA KISASA KAMA KUBOREHA NI VICHACHE SANA
👉KUNA KILIMO CHA KISASA PIA KINAFANYIKA HAPA SITE NA KIMEJENGEWA GREEN HOUSE
👉KUNA UMEME UPO WA TANESCO NA UMEME MKUBWA WA SOLAR ZA UHAKIKA PIA UPO
👉KUNA VISIMA AMBAYO VINA MIUNDOMBINU YA KISASA YA KUPELEKA MAJI KWENYE MIFUGO HASA UPANDE WA NGURUWE
👉PIA KUNA MATANK MAWILI MAKUBWA YA MAJI
👉UKUBWA WA ENEO LOTE SQM 12250
PRICE 300,000,000/= KUNA MAONGEZI KIDOGO
☎️ #0757208653
SITE VISIT 50000 /=