Kiwanja kinauzwa Mkundi, Morogoro
Kiwanja kikubwa cha kibiashara, kipo Morogoro manispaa,eneo la mkundi along Dodoma road,
Unaweza jenga godauni,kuweka kiwanda,kujenga apartment, gest house, hoteli, ni mita 50 kutoka lami, umeme mkubwa upo,
Panafikika kwa urahisi sana,
Ukubwa ni sqm 3000
Kiwanja kina hati na kimepimwa kwa matumuzi ya kibiashara, hakuna haja ya kuingia gharama za kubadilisha matumizi.
Bei milion 55,
Mazungumzo yapo, #0652644084
Wa.me/255652644084