Kiwanja kinauzwa Mkundi, Morogoro
HIKI KIWANJA KINA UKUBWA WA SQM1000.KIPO MKUNDI MWISHO JIRANI NA KITUO CHA DALADAL MKUNDI.
BEI YAKE NI SHS.25M.
KINA HATI TAYARI. UMEME NA MAJI YAPO
KINAFAA KWA BIASHARA LODGE /HOTEL N.K
WASILIANA NASI KWA MAELEZO ZAIDI.AU FIKA OFSINI KWETU MASIKA MKOANI MOROGORO