Kiwanja kinauzwa Mkuranga, Pwani
Shamba linapatikana MKURANGA BIGWA.(kwa gari ni lisa na nusu kutoka MBAGALA)nauli tsh 2500
Lina heka 1
Bei yake tsh 5,500,000
Km 3 kutoka barabara ya lami hadi shambani
Gari dogo linafika shambani
Nyaraka: hati ya mauziano(sales agreement)
Gharama ya kutembelea shamba Tsh30,000 kutumia usafiri wetu
0710855997/0752855996
Whatsapp 0769355987