Kiwanja kinauzwa Mlandizi, Pwani


KIWANJA CHA BIASHARA, EKARI 2.8. TSHS.600 MILIONI,MLANDIZI-MSUFINI.
Kiwanja kinaiangalia Barabara ya Morogoro,
Nyuma yake kuna Barabara ya Vumbi kubwa pia.
Ni umbali wa kilomita 63 tu kutoka Dar Mjini.
Hapa pafaa uwekezaji kama,
Kituo cha Nishati za Motokari, (Fuels Station)
Yard, Go-down Karakana Kubwa nk.
Ndani yake kuna Nyumba mbili.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
__________mpg