Kiwanja kinauzwa Mlandizi, Pwani


MADUKA NANE(8) TSH. 100 MILIONI, MLANDIZI.
HIYO BEI NI KUWA IMESHUSHWA ILI BIASHARA IFANYIKA MAPEMA HIVYO HAINA MAZUNGUMZO.
Hili eneo linaangalia Barabara Pana ya Morogoro.
Ukiondoa Maduka nyuma yake ipo nyumba yenye Wapangaji.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.2,000.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Eneo ni kubwa.
Unaweza kujenga nyumba kadhaa na bado ukawa na nafasi ya Parking.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
__________________mpg


















