Kiwanja kinauzwa Mtoni, Dar Es Salaam
NYUMBA YA GOROFA INAUZWA
MTONI KIJICHI USD laki 5
NJOO HARAKA
Ina vyumba 5 vyote masters
Ina living rooms mbili
Two kitchen na store
Garage ya kupark gari ndani
Nyumba ndogo ya nje ina vyumba viwili vyote masters
Living dinning room kitchen na store
Kuna nyumba nyingine ya nje
ya chumba kimoja master living room n kitchen na store
Ukubwa wa eneo SQM 2050
Bei USD laki 5 Ofa inasikilizwa
Eneo la nje la kupumzikia unaona mkondo wa bahari safi