Kiwanja kinauzwa Mtoni, Dar Es Salaam
KIWANJA KIZUURI SANAA KINAUZWA MARANGU MOSHI!!!!
Location: Marangu, Barabara ya Kilema, kilometer chache Toka marangu mtoni.
KIWANJA kina ukubwa Mita 40/50 (2000sqm), kiwanja kipo karibu sana na barabara kuu ya kuelekea Marangu Mtoni,
Kipo sehemu tambarare kabisa,
Huduma zote za kijamii kama maji, umeme, barabara nk. Zipo kwenye kiwanja.
Wahi Chap Chap!!
Kiwanja kinauzwa kihalali na hakina mgogoro.
Price; Milioni 26
Maongezi yapoo!!
Kwa maelezo zaidi nichek 0717916034