Kiwanja kinauzwa Mtoni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 22,000,000

Hiki Kiwanja kinapatikana MTONI KIJICHI NERUKA. Ni karibu na Msikiti wa Al firdous Kijichi. Ni mita 300 toka Stendi Mpya Kijichi. Jamani bei ya kutupa, MILION 22Tu. Ukubwa ni Sqm 800 ( Mita 40 X 20) 0711677199.

Ni Kiwanja kizuri pia ni kikubwa sana, kama una project ya apartments hiki kinakufaa sana sana, Maana Demand ni kubwa mnoo ya nyumba za kupangisha Kwa maeneo ya Kijichi. (Chumba master kupangishwa laki na nusu ni kawaida) Na ili Eneo Unatoa nyumba au Vyumba vingi sana Kwa sababu ya ukubwa wake. Eneo haliko mbali na stendi ya kijichi, hata Kwa mguu unatembea.

N:B Kiwanja hiki, kipo katika mazingira ya uswahilin kidogo ndio Maana nashauri Kwa mtu mwenye project ya apartment, Kwa sababu pameshakuwa na high popularity (Highly density) mitaa imekaa bila mpangilio mzuri. Japo lami Kila mtaa, na nikaribu na city center, kwenda kariakoo ni dakika TU.

Karibuni sana, fursa na bahati ya kuokota kiwanja kama hiki Kwa hapa Kijichi Neruka inatokea mara Moja Kwa miaka. Usichelewee ukaja kujuta. 0711677199/0744847199…

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mtoni, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

NYUMBA INAPANGISHWA MTONI MAZRUI #unguja #zanzibarVyumba 4 (Master 2) Ukumbi, Jiko, Public Toilet......

Kiwanja kinauzwa Mtoni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000,000

JUMBA KALI LA KIFALME LINAUZWAMTONI KIJICHI PLOT SIZE 1500SQMFULL TITTLE DEED1KMS KUTOKA BEACHVYUMBA...

Kiwanja kinauzwa Mtoni, Dar Es Salaam

Sh. 650,000,000

KIWANJA KIKUBWA NA KIZURI SANA KINAUZWA BINAFSIKIPO MTONI KIJICHI DAR ESSALAAMTANZANIA. KINAFAA KWA ...

Kiwanja kinauzwa Mtoni, Dar Es Salaam

Sh. 30,000,000

NYUMBA UNAZWA KWA DHARULA MTONI KIJICHI 'MGENI NANI'INATAKIWA IUZIKE LEO KWA TSH.160 MILIONI TU.UKWA...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mtoni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

HOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto kwa picha zaidi* (STAND ALONE) 🇹🇿📍Location :MTO...

HOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto kwa picha zaidi* (STAND ALONE) Location :MTONI KIJ...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mtoni, Dar Es Salaam

Sh. 560,000,000

Gorofa linauzwa TSH560MLipo mtoni kijichi dar es salaamEneo square meter 1250Ina vyumba vinne jiko s...