Kiwanja kinauzwa Ntyuka, Dodoma


Hapa ni Dodoma mjini - Chidachi Ntyuka
📍Km 5 kutoka Dodoma mjini
📍Ukubwa wa kiwanja ni Sqm 562
📍Kiwanja kina Hati
📍Karibu na stesheni ya Sgr
📍Bei mil 13
📍Malipo kwa awamu tatu
Huduma ya kwenda site ni bure na kila siku
Mawasiliano : 0768 333 054