Kiwanja kinauzwa Salama, Mara


π§ Akili huhitaji utulivu sana, hasa sehemu ya kuishi...
π‘ Njoo uweke familia yako hapa sehemu tulivu, salama na yenye maendeleo!
β
Kiwanja kimepimwa rasmi
β
Kina kuta pande mbili β malizia upande mmoja tu
β
Ukubwa: Sqm 792
β
Umeme na maji tayari vipo
β
Karibu na hospitali na shule zote β msingi hadi sekondari
β
Aridhi tambarare kabisa β hakuna gharama ya leveling!
Bei milion 15
π Wasiliana nasi sasa:
π² 0652644084 / 0767932265
π° Njoo ulipie leo β hutojutia!