Kiwanja kinauzwa Segerea, Dar Es Salaam


*Kiwanja kinauzwa Segerea*
*Distance* 200 kutoka main road ya Segerea
-Eneo linafaa kwa Apartment, Lodge na makazi binafsi
-Plot size Sqm 700
-Document; Eneo lina Offer
*Bei shilingi milioni 100 maongezi kidogo*