Kiwanja kinauzwa Sinza, Dar Es Salaam
NYUMBA YA KIZAMANI YENYE HATI, TSHS.200 MILIONI, SINZA.
Hii nyumba inaangalia Barabara ya Mtaa mpana.
Eneo ni hapa SINZA KWAREMI.
Panafaa kuweka nyumba ya kisasa.
Anuani nzuri na rahisi kufikika.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 340.
HATI ya KUHUISHA.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
+255714591548
____________moi
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.