Kiwanja kinauzwa Tambalale, Tabora
KIWANJA KIZURI SANA TAMBALALE KABISA UNAWEZA JENGA APARTMENT AU NYUMBA YAKO YA KUISHI KIPO KARIBU NA BARABARA KABISA
#UKUBWA WA KIWANJA NI 22/22 == na 484 square mita
#DOCUMENT SERIKALI YA MTAA
#BEI NI MILIONI 40 SERVICE CHARGE 50 KUONA KIWANJA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 TU KUTOKA MWENDOKASI