Mashamba yanauzwa Fukayosi, Pwani


MILIKI SHAMBA FUKAYOSI BAGAMOYO KWA MILLION 1.5 TU
▶️ Mashamba yapo Fukayosi Bagamoyo, umbali wa Kilometers 6 tu kutoka kituo Cha bus Cha Fukayosi
▶️Ukubwa Kuanzia hekari moja (SQM 4046) na kuendelea
▶️Bei Kwa hekari ni million 1.5 tu Kwa cash, pia unaweza kulipa kidogo kidogo mpaka unamaliza malipo
▶️Mashamba yapo eneo zuri lenye udongo wenye rutuba unaokubali mazao mbali mbali
▶️Wahi Sasa kabla wenzako hawajamaliza
▶️Kwenda kuona ni Kila Jumatano, Jumamos na Jumapili
▶️Tuna viwanja vinavyouzwa maeneo ya Vigwaza Kwala, Kerege Bagamoyo, Mbutu Kigamboni, Bunju, Mwembe Mdogo Kigamboni, Misugusugu Kibaha, Pangani Kibaha, Madale Mivumoni.
▶️Fika ofisini kwetu Kwa maelezo zaidi , ofisi zetu zipo nyuma ya Ubungo plaza Mtaa wa Katambe jirani na shule ya msingi Ubungo plaza.