Viwanja vinauzwa Fukayosi, Pwani


Jaman jaman .....Tarehe 16/9/23 sio ya kukosa...twenzetu fukayosi...kiwanja kwa laki 900,000/= tu... mnataka nini tena jaman
Twenzetu site miliki kiwanja chako kwa bei rahisi sawa na bure...
MRADI uko Bagamoyo Fukayosi, umbali tokea lami ni km 7
Viwanja vimepimwa kwa matumizi ya MAKAZI na BIASHARA vyenye
ukubwa kuanzia 500, + 600 na kuendelea
Bei kwa Sqm moja ni 1800 tu, unaweza kuanza kulipia 50% nyingine ukalipa kidogo kidgo kwa awam
Barabara ipo ya kufika adi kwenye mradi
Umeme na Maji vipo karibu
JILEROUX REAL ESTATE tupo NYUKI HOUSE 3rd floor ofisi no 28
contact