Mashamba yanauzwa Ifunda, Iringa
*Shamba la Ekari 250 linauzwa Iringa*
*Location* Iringa kijiji cha Ifunda.
*Distance* Km 45 toka Iringa mjini na Km 10 toka barabara kuu ya TANZAM.
*Ukubwa wa shamba:* Ekari 250.
*Umiliki:* Hati ya kiserikali *(Title Deed)*
*Vilivyomo ndani ya shamba:-*
1.Nyumba za watumishi. 2.Mabanda ya ng’ombe na mbuzi.
3. Visima vya maji.
4. Mashimo ya kukaushia nyasi kavu za Ng’ombe.
5. Pipe za kivuta maji toka mtoni.
6. Bwawa la samaki.
*Chanzo cha maji* Maji ya mto.
*Bei shilingi milioni 550 maongezi yapo*
#ardhi #viwanja #nyumba #business #investment #tanzania #living #future