Mashamba yanauzwa Ifunda, Iringa
MASHAMBA YANAUZWA MKOANI IRINGA.
Mashamba mazuri,
Ardhi yenye Rutba na Hali ya Hewa nzuri.
Yanahitajj KUSAFISHWA.
■Eka 5,000 MADABA @ Eka Tshs.400,000.
Umbali wa kilomita 25 kutoka Barabara Kuu.
■Eka 2,500 IFUNDA KIHANGA @ Tshs.500,000.
■Eka 500 WASA @ Tshs.500,000.
■Eka 9,000 NDULI @ Tshs.600,000.
Kilomita 27 kutoka Mjini.
■Eka 1,100 IFUNDA Tshs.2 Bilioni.
Hili lina HATI (Title Deed) ya Wizara.
Hapa kuna Mto. Pia Umeme na Maji vipo.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.200,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema.