Nyumba inapangishwa Kati, Arusha
HIZI APARTMENT ZIPO TATU KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
*CHUMBA KIMOJA CHOO CHA PEMBENI CHA KWAKO
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA KAWAIDA
#UMEME SUBMITER
#MAJI DAWASA YAPO
#BEI NI 70,0000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#LOCATION KOROGWE DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
SIMU
+255 658 58 64 49
+255 658 58 64 49
MSHATI
____