Nyumba (Furnished) ya vyumba vinne inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam







Nyumba Inapangishwa,
Full Furnished,
Ipo Bunju Beach
Ina Vyumba 4 vya kulala, vitatu ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Store na Public Toilet
Luku
Dawasa
Parking Space
Paving
Fensi Nzuri
Bei ni $ 1200
kwa mwezi, Malipo ni miezi 6 na mwezi 1 malipo ya Dalali.
Gharama za kuona 20,000
Wasiliana nami kwa
0718 809 744