Nyumba (Furnished) ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA FULL FURNISHED MBEZI BEACH
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kub la kisasa lina makabati
Full air condition
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Slide window
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 20,000/=
Kodi USD 1000 KWA MWEZI
---------
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA AMBAYO NI USD 1000
----------
CONTACT
#0676_218580 (WHATSAPP)
#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach πΉπΏ