Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
HOUSE FOR RENT APPARTIMENT ZIPO 2 KWENYE COMPOUND MOJA YA JUU BADO HAIJAISHA
IPO GOBA MWANZONI KUTOKEA MASANA ROADS
VYUMBA V2 VYOTE MASTAR SEBLE DINING ROOM JIKO NA CHOO CHA PUBLIC
BEI LAKI 600,000/= KWA MWEZI
MUDA WA MALIPO MIEZI 6
KWA MAELEKEZO ZAIDI PGA SIM
📲 0682 402 327 📶
📲 0653 267 999 📶 ya WhatsApp