Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
šÆļøNyumba mpya Inapangishwa GOBA NJIA NNE
šZipo 2 za bei Tofauti, (zinatofautiana ukubwa wa vyumba tu) ipo ya:-
#300,000/= Ć6 na ya
#350,000/= Ć6
_____
_____
ā¢ Jiko Zuri lenye Makabati
ā¢ Chumba Master
ā¢ Sebule
ā¢ Choo cha wageni wako
* Inajitegemea UMEME
* Maji Ndani
* Ndani ya Fensi
* Parking
#Kipo karibu na barabara ya lami
š Tembea na Hela Nyumba Nzuri sana
_______
ā
*MUHIM SANA*
#Malipo Ya dalali Nasoni ni 350,000/=
#Kupelekwa kuona 20,000/=
ā:- 0753172516