Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


#CHUMBA_SEBLE_JIKO_CHOO
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-GOBA MWANZONI (Njiapanda ya kinzudi)
________________
PKPK 1000 KUTOKA KITUONI
_________________
KODI TSH LAKI 300,000/= KWA MWEZI
_______________
MALIPO YA MIEZI. 6 / MWAKA
KUBWA YA KIBACHELA,
______
YENYE
Chumba kimoja kikubwa ambacho ni master #Sebule #jiko_kubwa full makabati Mazuri Full Ac
#Gypsum #Tiles #Umeme upo wa kujitegemea
#Maji yapo ya #bomba #24hrs #Pervingblocks
Cars #Parking Space ipo
#fencedapart
____________
Nione
dalalimakongo_1
#0757506643whatsapp
#0788036643call
___
ghalama za kuona nyumba ni 20k