Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa:
(Zipo 5 kwenye fensi)
Location :: Goba njia nne uelekeo wa mbezi mwisho
Bei yake :: 450,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (Kimoja Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
Kupelekwa kwenye nyumba elfu kumi na Tano itadumu mpaka unapata nyumba dalali mwenzi mmoja
Dalali kimara suka Leonard
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja