Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


(250,000 ร 6) GOBA NJIA NNE/KIMARA TEMBONI/KIMARA MWISHO
UNAWEZA UKAPITIA KIMARA TEMBONI
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET
โผ๏ธHAKUNA MASTER
#LUKU NA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
BEI NI 250,000/= ร6
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 USAFIRI NI BAJAJI
PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA MWISHO UKAPANDA DALADALA
UKITOKEA GOBA UNAINGILIA NJIA NNE NI KARIBU HADI KWENYE NYUMBA NI KILOMETA 1 TUU BAJAJI 500
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0754344786
0652472014