Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa IPO goba kituo lastanza kutoka lami kilometa 2 tu nyumba inavyumba vitatu vyakulala viwili master bedroom public toilet jiko kumbwa Sana
Huduma maji dawasco na umeme unajitengemea
BEI LAKI 800,000/= KWA MWEZI
MUDA WA MALIPO NI MIEZI 6
๐ฒ 0625584914