Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Master bedroom, Sebule na Jiko 250kđźŹ
pecifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Goba Center📍
• Chumba Kimoja Ni Master bedroom
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Fence Na Parking Ni Ya Uhakika
• Umbali Kutoka Barabarani ni Boda Buku
• Barabara inafikika Vizuri
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 250kk💸💷
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Nyumba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
•0744701813 Normal/WhatsApp📲