Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


HIZI NYUMBA ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 20/06/2024 KUONA MALIPO RUKSA
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI LENYE MAKABATI
#CHOO NA BAFU VYA FAMILIA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI FENSI NA PARKING KUBWA
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 15 KWA MIGUU BODA BUKU
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI
______