Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NDANI
#HAKUNA MASTER
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA BUCHA DK 3 KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
PIGA SIMU 0655256419