Nyumba inapangishwa Kati, Arusha
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI INAFAULISHWA
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA FAMILIA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA YENYEWE HEWA SAFI MZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 15 KWA MIGUU NJIA YA ZEGE BAJAJI AU DALADALA 500 TU UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 3,4,5,6
0710614924