Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


#APARTMENT ZIPO TATU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA NDANI PUBLIC
#TAILZY
#GIPSAM
#ALUMINUM SLAIDING NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
#INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASCO NA YANAFLOW NDANI
#LOCATION #KIMARA_STOP_OVER KLM 1
#USAFIRI BODABODA 1000
#BEI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#SERVICER_CHARGER_15000
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0769680796☎
#0712348316WhatsAp