Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


:
HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE FENSI KATI IZO MOJA IPO WAZI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 BILA KUPUNGUA MIEZI
#SEBULE
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO CHA FAMILIA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI BUSATANI SAFI
#HITER MAJI MOTO
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI NI DAWASCO YANAFLOW NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION: KIMARA BARUTI
DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI 500 BODA BUKU UKISHUKA TU NA BAJAJI UNAPIGA ODI GETINI
0716 776247
0754 221168