Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


HIZI APARTMENT NI MPYAAA ZIKO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO NYUMBA MOJA NDIYO IPO WAZI
#SEBULE KUBWA SANA MNO
#CHUMBA KIKUBWA NA CHOO CHAKE
#CHA PUBLICK CHA NDANI UMO UMO
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA IPO KUNE FENSI PARKING SPACE IPO KUBWA SANA ILA USALAMA NI WAKUTOSHA SANA MNO GARI INAFIKA MPAKA MLANGONI KWAKO
#UMUME INAJITEGEMEA YENYEWE
#MAJI DAWASA( 24HRS )MITERS YAKO
#BEI NI TSZ 170,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI X 6
#wanderlust
#clouds
0655256419