Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NJE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI ILA SIO YA KULAZA GARI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA BUCHA DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
AU KIMARA KOROGWE KWA NJIA YA GARI AU MIGUU
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
#0715949085
#0782838336