Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND KATI YA HIZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 29/02/2024 KUONA MALIPO RUKSA
KODI TSH 400,000 ILIPWE MIEZIX6
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI LENYE MAKABATI
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK BUSTANI SAFI MZINGIRA MAZURI SANA
#ELECTRICK FANCE
#NYUMBA ZIPO 2 TU KWENYE FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA SUKA DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD BODA BUKU MPAKA GETINI
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 ๐
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1 ๐
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258