Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


:
HIZI APARTMENT ZIPO 3 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#DAING
#JIKO KUBWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YAPO NDANI
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 12-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#NOTE: KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA
0716 776247
0754 221168