Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 28/04/2024 KUONA MALIPO RUKSA
PIGA SIMU 0755831740
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#JIKO ZURI KUBWA
#CHOO CHA NDANI
#HAKUNA MASTER
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI (500) UKISHUKA DK 4 UPO GETINI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6