Nyumba inapangishwa Kati, Arusha
HIZI APARTMENT ZIPO NNE TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE
#CHUMBA MASTER
#JIKO ZURI MAKABATI
#CHOO CHA WAGENI NJE
#LUKU NA MITE YA MAJI VINAJITEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA MWISHO KLM 2
USAFIRI WA KUMWAGA WA KUCHANGIA BAJAJI AU TAX (700) UKISHUKA TU DK 3 UPO GETINI
#BEI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.