Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


#SOMA_MAEZO_VIZURI
#APARTMENT ZIPO TATU KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO 2 ZIPO WAZI
(A)
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI (OPEN KITCHEN)
#PUBLICK TOILET NDANI
#BEI 300,000 MAJI DAWASA BURE KWA MWEZI KODI MIEZI 6
(B)
#CHUMBA KIKUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI (OPEN KITCHEN)
#CHOO NDANI
#BEI 250,000 MAJI DAWASA BURE KWA MWEZI KODI MIEZI 6
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILLES
#GIPSAM
#ALUMINUM SLIDE WINDOW
#MAZINGIRA MAZURI SANA
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION #UBUNGO_MAKOKA
#USAFIRI BAJAJ KUTOKEA UBUNGO RIVERSIDE AU UNAWEZA UKAPITA KIMARA KOROGWE KILUNGURE MWENDOKASI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030