Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 26/04/2023 KUONA MALIPO RUKSA #BEI 150K
#CHUMBA MASTER NA JIKO KUBWA SANA
#CHUMBA CHENYE CHOO NDANI NA JIKO KIKUBWA SANA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LUKU 2 TU
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI DK 10-15 KWA MIGUU BODA BUKU TU MPAKA GETINI
#BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 BILA KUPUNGUA MIEZI
NOTE
ELA YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SERVICE CHARGE 15000
MR ROONY TZ