Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 10/06/2024 KUONA MALIPO RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NJE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 10 -12 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6