Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA CHA KULALA
#CHOO CHA NDANI
#SEHEMU YA JIKO
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA
#LUKU KUSHEA 2
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI ILA SIO YA KULAZA GARI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.