Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


APARTMENT KALI SANA HII WAHI CHAPU USICHELEWE KODI 370,000X3
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA VIKUBWA SANA KATI YA HIVYO VIWILI VYOTE MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA DINNING NA STORE
IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI NI KM 1 TU
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCKS
KODI NI 370,000X3
UMEME LUKU YAKO
MAJI PIA YANAFLOW NDANI MITA YAKO
USAFILI BAJAJI 700
AU BODA 1000
UKISHUKA DAKIKA 2 UPO GETINI
UKILIPIA NYUMBA INAPIGWA RANGI YOTE NA SERVICE NDOGO NDOGO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI 15,000/=
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
What saapp number ⬅️ 0689-547258