Nyumba inapangishwa Kibaha, Pwani


Eneo la shule limelipiwa maboss zetu. Viwanja vimebaki vichache hivyo jumatano hii tutaenda site kuvimalizia.
Tupigie simu 0789-100 100 au 0675-200 300
—
Viwanja vilivyobaki bei ni tsh 1,200,000/= (unatakiwa kuilipa ndani ya miezi mitatu. Yaani unaanza na laki 4)
—
Ukubwa: vipo SQM 400-500
Vyote bei moja
—
Location: vipo kibaha soga km 2 toka stesheni ya reli ya SGR soga
—
Vinepimwa hati miliki unapata bure tunafuatilia sisi vijana_realestate
Tupigie simu 0789-100 100 au 0675-200 300
Ofisi zetu zipo tegeta azania HIEF HOUSE ghorofa ya kwanza