Nyumba inapangishwa Kibaha, Pwani


APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA ZIPO KIBAHA MKOANI
BEI 400K MIEZI SITA
FENSI IPO BADO GETI NA MAREKEBISHO MADOGO MADOGO
KWA NJE KAMA PAVING BLOCK N.K
UMEME MAJI TAYARI KILA MMOJA ANAJITEGEMEA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHAJI 15K NA UKILIPIA NYUMBA DALALI MWEZI MMOJA CONTACT 0714539608