Nyumba inapangishwa Kibaha, Pwani


APARTMENT INAPANGISHWA KIBAHA /KILUVYA MPAKANI #250K
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 250,000 Kwa mwezi × 6
Ndani ya fence parking IPO,kila Mtu anajitegemea umeme na maji
Dakika 8 Kwa mguu toka Morogoro Road
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
⬇️
Simu/06 58 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37